Mayonde adai kushindwa kuingiza pesa kimuziki ndio sababu ya ukimya wake

Taifa Leo
Published: Apr 15, 2024 13:55:37 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO HIVI unamkumbuka Mayonde? Yule mrembo aliyetuangishia fataki nzito ‘Nairobi’ yapata miaka mitatu iliyopita. Baada ya kuja kwa nguvu za soda na kufanya vizuri kwa muda kwenye chati za muziki hapa nyumbani, Mayonde aliingia gizani. Sasa mrembo huyo ambaye anajipanga kurudi tena kwenye gemu, anakiri kuchoshwa na muziki baada ya kuona hakuwa akitengeneza faida […]