Guardian Angel: Muziki hauna utajiri wa haraka 

Taifa Leo
Published: Apr 16, 2024 05:55:42 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO MSANII wa injili Guardian Angel kadai kuwa, muziki sio uwekezaji sahihi kwa mtu anayepania kutajirika haraka. Angel ambaye amedumu kwenye tasnia ya muziki wa injili kwa miaka 15, anasisitiza kuwa huwa kuna dhana kwamba muziki ni mojawapo ya njia rahisi ambazo zinaweza kumtajirisha msanii. “Huwezi kutajirika kwa haraka kupitia muziki, hilo haliwezekani. Ikiwa dhamira […]