Busu la shavu la Bieber kwa Jaden Smith lazu gumzo

Milard Ayo
Published: Apr 16, 2024 08:22:56 EAT   |  Entertainment

Wikiendi hii katika tamasha maarufu zaidi la muziki Duniani Coachella wasanii mbalimbali wametumbuiza akiwemo Justin Bieber ambaye alipanda jukwaani kutumbuiza wimbo wa Essence pamoja na wasanii kutoka barani Afrika Tems na Wizkid. Gumzo ni kuhusu kipande cha video kinachosambaa mitandaoni kikimuonyesha Bieber akisalimiana na Jaden Smith tofauti na wengi walivyotarajia Jumamosi hii kwenye Coachella, Jaden […]

The post Busu la shavu la Bieber kwa Jaden Smith lazu gumzo first appeared on Millard Ayo.

Wikiendi hii katika tamasha maarufu zaidi la muziki Duniani Coachella wasanii mbalimbali wametumbuiza akiwemo Justin Bieber ambaye alipanda jukwaani kutumbuiza wimbo wa Essence pamoja na wasanii kutoka barani Afrika Tems na Wizkid.

Gumzo ni kuhusu kipande cha video kinachosambaa mitandaoni kikimuonyesha Bieber akisalimiana na Jaden Smith tofauti na wengi walivyotarajia Jumamosi hii kwenye Coachella, Jaden alimshtukiza Bieber kwa kumkumbatia kwa nyuma na kubusiana na kumuacha akielekea VIP.

Wawili hao ushkaji wao ulianza tangu mwaka 2010 waliposhirikiana katika wimbo (Never Say Never) uliotumika katika filamu ya Karate Kid.

The post Busu la shavu la Bieber kwa Jaden Smith lazu gumzo first appeared on Millard Ayo.